Aliyekuwa mchezaji wa Arsenal na Manchester City Patrick Vierra ameorodheshwa miongoni mwa watu wanne wanaotarajiwa kuchukua ukufunzi wa kilabu ya
Newcastle nchini Uingereza.
Steve McCleren aliyefutwa kazi na Derby County wiki iliopita pia ameorodheshwa.
Ukaguzi wa ni nani anayefaa kuchukua wadhfa huo utaanza wiki hii huku Viera ambaye ndio kocha wa vijana wasiozidi umri wa miaka 21 akiwa yuko tayari kujipima nguvu katika ligi hiyo ya Uingereza.
Viera alishinda kombe la dunia na timu ya taifa ya Ufaransa mwaka 1998, mbali na mataji matatu ya ligi pamoja na mataji manne ya FA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni