27 Agosti 2015
HAPAPATOSHI NDANI YA JIJI LA DAR
Msanii wa kizazi kipya
Saa 2 zilizopita
Neno moja huweza kubadilisha maisha ya mtu, hayo yamemkuta msanii wa muziki nchini Tanzania
Msanii wa muziki wa
Kizazi kipya Abubakar Shaaban Katwila almaarufu Q Chillah aliyekuwa
ameathiriwa na dawa za kulevya kiasi cha kushindwa kuendelea
kuiburudisha hadhira, ameamua kuitoa siri yake kwa BBC namna alivyoweza
kuachana na uraibu, sababu kubwa ni neno aliloguswa kutoka kwa bintiye.
Sikiliza mahojiano yake na Anord Kayanda
Sikiliza mahojiano yake na Anord Kayanda
Uchaguzi 2015: Jackline Wolper Atangaza Kujiita ‘Jackline Lowassa
Mastaa wa Bongo Movies, Jackline Wolper , Aunt Ezekiel na Shamsa Ford ambao wamekuwa wakimuunga
Rose Ndauka: Nipo Tayari Kuolewa na Yeyote!
ROSE Donatus Anjelus Ndauka ‘mtata’ amesema kama mwanamke
aliyekamilika na mwenye kuhitaji heshima katika jamii, yupo tayari
kuolewa na kuishi kama mama na mwanaume yeyote.
Muuaji ajiua Marekani
Ujumbe
unaoonekana kutumwa na mtu aliyekuwa na silaha nchini Marekani na
kuwaua kwa risasi watangazaji hao wawili wa televisheni wakati wa
matangazo ya moja kwa moja unaashiria kwamba alikuwa na uchungu kwa
kinachoonekana kuwa ubaguzi wa rangi.
Je hali ya wachimba dhahabu TZ itaimarika ?
Marekani yamuonya rais Salva Kirr
Marekani imemuonya
rais wa Sudan Kusini Salva Kirr, kuheshimu na kutekeleza mkataba wa
amani aliousaini siku ya Jumatano mjini Juba.
Polisi wanasa sehena ya Silaha Kenya
Maafisa wa Ulinzi
wa Kenya wamenasa shehena kubwa ya silaha, kufuatia operesheni ya
kuwasaka wapiganaji wa Al Shabaab Kaskazini mwa Kenya.
Usain Bolt bingwa wa dunia wa mita 200
Mwanariadha wa Jamaica Usain Bolt,
ameshinda medali yake ya pili ya dhahabu, katika mashindano ya riadha ya
dunia yanayoendelea mjini Beijing nchini Uchina.
Pistorius kusalia gerezani zaidi
Kamati itakayoamua
ikiwa mwanariadha wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius, anapaswa kuachiliwa
kutoka gerezani, inatarajiwa kukutana tarehe 18 mwezi ujao.
Miili ya wahamiaji yapatikana Austria
Maafisa wa serikali
ya Austria wamesema kuwa wa wamegundua miilli ya wahamiaji kadhaa
ambayo iliachwa ndani ya lori moja katika mkoa wa Burgenland, karibu na
mpaka wa Hungary.
Wanawake waoana nchini Tanzania,kunani?
Wegesa na Nyanswi. Ni wanawake wawili kutoka kwa jamii ya Wakuria.
Wameoana kwa miaka 15.
Waandishi 2 wauawa wakiwa hewani Marekani
Waandishi wawili wa habari wamepigwa
risasi katika jimbo la Marekani la Virginia wakati wakifanya mahojiano
ya moja kwa moja ya runinga.
Ray Aangua Kilio Ukumbini!
BONGE la soo! Katika hali ya kushangaza, msanii wa filamu Vicent
Kigosi ‘Ray’ hivi karibuni alijikuta akiangua kilio ukumbini baada ya
mshindi wa shindano la kusaka vipaji vya kuigiza kufananishwa na
marehemu Steven Kanumba.
24 Agosti 2015
Umoja wa Ulaya na tatizo la wahamiaji
Viongozi wa Ufaransa na Ujerumani
wamezitaka nchi za Umoja wa Ulaya kufanya kazi pamoja kuweza kukabiliana
na tatizo la wahamiaji.
Katika taarifa yao ya pamoja kwa vyombo
vya habari mjini Berlin, Kansela Angela Merkel amesema kanuni
zilizokuwepo sasa kama vile kuwasajili wahamiaji, hazifuatwi.Kwa upande wake Rais wa Ufaransa Francois Hollande ametaka mgawanyo sawa wa wanaoomba hifadhi, kati ya mataifa wanachama.
Uingereza na uhamiaji haramu
Wahamiaji
ambao watapatikana wakifanya kazi kinyume na sheria nchini Uingereza na
Wales, watakabiliawa na hukumu ya hadi miezi sita gerezani na kupigwa
faini ya fedha nyingi.
Tanzania na ugonjwa wa Sickle Cell.
Video ya hali ya juu | mp3 (3.4 Mb) |
Tanzania na ugonjwa wa Sickle Cell.
Saa 7 zilizopita
Tanzania ni nchi ya tano Duniani kwa kuwa na watu wenye ugonjwa wa Sickle Cell.
Utafiti unaonyesha kuwa kila mwaka nchini Tanzania takribani watoto elfu kumi na moja huzaliwa na ugonjwa huo.
Moja ya sababu ya ongezeko hilo ni uelewa mdogo juu ya ugonjwa huo unaohusiana na seli za damu kuwa katika umbo nusu.
Sikiliza ripoti ya Arnold Kayanda kuhusiana na ugonjwa huo.
Moja ya sababu ya ongezeko hilo ni uelewa mdogo juu ya ugonjwa huo unaohusiana na seli za damu kuwa katika umbo nusu.
Sikiliza ripoti ya Arnold Kayanda kuhusiana na ugonjwa huo.
Arsenal , Liverpool hakuna mbabe
Mlinda
mlango wa Arsenal Petr Cech aliokoa mara mbili mipira ya hatari
iliyokuwa ikielekea langoni mwake na kuisaidia timu yake kupata alama
moja katika mechi ya Ligi Kuu ya England dhidi ya Liverpool.
Kampeni za Uchaguzi mkuu zaanza Tanzania
Video ya hali ya juu | mp3 (1.9 Mb) |
Kampeni za Uchaguzi mkuu zaanza Tanzania
24 Agosti 2015 Imebadilishwa mwisho saa 01:37 GMT
Kampeni
za uchaguzi mkuu nchini Tanzania zimeanza rasmi juzi. Oktoba 25
wananchi watapiga kura kuchagua madiwani, wabunge na Rais
Sikiliza taarifa ya Sammy Awami aliyehudhuria uzinduzi wa kampeni za Chama tawala CCM.
Wachina wanaozungumza kiswahili China
Video ya hali ya juu | mp3 (2.1 Mb) |
Wachina wanaozungumza kiswahili China
24 Agosti 2015 Imebadilishwa mwisho saa 16:33 GMT
Fatuma
Halnur ni baadhi ya Wachina hapa wanaozungumza kiswahili pia. Fatuma,
ambaye ni muislamu, ni mwanafunzi katika chuo cha Lugha za kigeni cha
Beijing...John Nene amekutana na Fatuma mjini Beijing, na kwanza
akamuuliza mbona ameamua kujifunza kiswahili.
Mourinho aanza tambo:
Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amesema matokeo ya timu yake dhidi ya West Brom yatawanyima raha wabaya wao.
Ameyasema hayo baada ya kupata ushindi wa kwanza tokea msimu mpya wa ligi ya England ianze.Katika mchezo huo uliochezwa mwishoni mwa juma lililopita, Chelsea iliibuka kidedea kwa jumla ya bao 3-2 dhidi ya West Brom na kushuhudia nahodha wake John Terry akilimwa kadi nyekundu katika dakika ya 54 ya mchezo baada ya kumchezea vibaya mshambuliaji wa West Brom Salomon Rondon. Ushindi huu ni wa kwanza kwa Chelsea baada ya kufanya vibaya kwenye michezo miwili ya awali. Lakini pia hii ni mara ya kwanza kwa matajiri hao wa jiji la London, kufanya vibaya katika michezo miwili mfululizo ya awali katika kipindi cha miaka 17.
22 Agosti 2015
Rais Nkurunziza aomba utulivu Burundi
Rais
wa Burundi Pierre Nkurunziza ameomba utulivu baada ya wapiganaji
waliovalia magwanda ya kijeshi kumuua mmoja ya majenerali walio na
ushawishi mkubwa serikalini.
Chad:Boko Haram lina kiongozi mpya
Kundi la wapiganaji wa Boko haram kutoka Nigeria huenda limepunguzwa makali kulingana na rais wa Chad Idriss Deby.
Museveni amsuta Raila kuhusu Sukari
Rais
wa Uganda Yoweri Museveni amemsuta kiongozi wa upinzani wa Kenya, Raila
Odinga, kwa kupinga mkataba wa uuzaji wa sukari uliotiwa sahihi majuzi.
Museveni alisema kuwa Odinga hafaaamu anachokisema.''hata ndugu yangu odinga anazungumzia maswala ya sukari,bila kufahamu ukweli wa maswala hayo'' Museveni.
15 Agosti 2015
Miaka 130 jela kumuambukiza mtoto Ukimwi
Mahakama
moja nchini Kenya imemhukumu mwanaume mmoja kifungo cha miaka 130 jela
kwa kumbaka na kumuambukiza mtoto mwenye umri wa miaka 9 ukimwi.
Je unandoto ya kuwa mjasiria mali?
Watu wengi siku hizi na haswa vijana huwa wakishahitimu chuoni wanatafuta ajira kwa kipindi kirefu na hatimaye wanakata tamaa.
Kiongozi wa IS alidaiwa kum'baka mateka
Mfanyikazi
wa huduma za misaada kutoka Marekani ambaye aliuawa mnamo mwezi
februari akiwa mateka wa kundi la Islamic State nchini Syria
alinyanyaswa kijinsia na kiongozi wa kundi hilo Kulingana na maafisa wa
Marekani.
RIPOTI ZA MOJA KWA MOJA ZA MECHI ZA LIGI KUU YA UINGEREZA
RIPOTI ZA MOJA KWA MOJA ZA MECHI ZA LIGI KUU YA UINGEREZA
18.55pm:Matokeo ya mechi za EPL
Southampton 0 - 3 Everton
Sunderland 1 - 3 Norwich
Swansea 2 - 0 Newcastle
Tottenham 2 - 2 Stoke
Watford 0 - 0 West Brom
West Ham 1 - 2 Leicester
18.51pm:Na Mechi inakamilika ikiwa Tottenham 2 Stoke 2.
Idadi ya waliokufa China yaongezeka
Idadi
ya watu waliouawa kwenye milipuko mikubwa katika bandari ya Tinjian
nchini China siku ya Jumatano imeongezeka hadi watu 85.
Barcelona yacharazwa 4-0 na Bilbao
Kilabu ya Athletico Bilbao
iliwawacha mabingwa wa kombe la vilabu bingwa Ulaya mdomo wazi katika
awamu ya kwanza ya mechi ya kombe la Super Cup huku Aritz Aduriz
akicheka na wavu mara tatu katika mechi isio ya kawaida.
Al Qaeda:Mwana wa Bin Laden atoa ujumbe
Kundi la kigaidi la A Qaeda limetoa ujumbe wa sauti ambao unadai kwamba umetoka kwa Hamza Bin Laden ,mwana wa Osama Bin Laden.
Umri ni miaka 26 lakini umbile ni miaka 10
Ni mwanaume kwa kila hali ya siha ila sifa za maumbile yake ni sawa na yale ya mtoto wa miaka 10.
Si jambo la kujivunia kuwa wewe huzeeki ?Mourinho:Daktari'mjinga' hatakuwepo uwanjani
Meneja wa Chelsea manager Jose Mourinho amekariri msimamo wake dhidi ya kitengo cha utabibu cha timu yake.
Japan inajutia vita vya pili vya dunia
Waziri
mkuu wa Japan Shinzo Abe, ameeleza kusikitishwa kwake na mateso na
kujitolea kwa watu wengi wakati wa vita vya pili vya dunia.
13 Agosti 2015
Mourinho amtimua daktari wa timu
Meneja wa Chelsea,Jose Mourinho anapaswa kuomba msamaha kwa daktari wa timu Eva Carneiro ''kwa kumfedhehesha hadharani'' daktari wa zamani wa
Fidel Castro aandika barua ya wazi Cuba
Rais wa zamani wa Cuba Fidel Castro ametimiza umri wa miaka 89 kwa kuandika barua ya
Ugiriki yajitathmini na madeni kimataifa
Kumekuwa na majadiliano makubwa katika bunge la
Chachu ya kutuliza maumivu yapatikana
Wanasayansi nchini Marekani wamesema kuwa wamefanikiwa kutengeneza chachu yenye vina saba vinavyoweza kupunguza maumivu kwa
Jack Wilshere mapema zaidi
Meneja wa Arsenal Mfaransa Arsene Wenger amesema kuwa kiungo wa klabu yake Jack Wilshere anatarajiwa kurejea tena dimbani wiki mbili zijazo baada ya
Mtoto apata mtoto Paraguay.
Binti wa miaka kumi na mmoja nchini Paraguay aliyedai kubakwa na baba yake wa kambo amejifungua mtoto wa kike baada ya
David De Gea aufungukia uongozi
Mlinda mlango wa Manchester United David De Gea ameuambia uongozi wa klabu yake kuwa ''hakutaka kucheza'' kabla ya
05 Agosti 2015
Mayweather kupanda ulingoni septemba
Bondia Floyd Maywether atapanda tena ulingoni mwezi Septemba 12 mwaka huu kuzipiga na Andre Berto.
Wengi wavutiwa na muujiza Mali
Maelfu ya raia katika mji mkuu wa Mali Bamako wanaendelea kufurika ili kujionea kile kilichotajwa kuwa muujiza wa kidini katika ukuta mmoja ambao ulionekana wikiendi iliopita.
China ni haramu kuhifadhi mayai ukiwa hujaolewa
Mjadala mkali umeibuka nchini China baada ya serikali kupiga marufuku kwa uhifadhi wa mayai kwa wanawake ambao hawajaolewa.
Ajali:Polisi taabani kwa kudanganya Kenya
Shinikizo la kutaka Pasta mmoja maarufu nchini Kenya akamatwe limeanza kushika kasi baada ya uchunguzi wa mwanzo kuonesha kuwa alikuwa akiendesha gari aina la
Wakimbizi wa Somalia warejeshwa kwao
Wakimbizi wa kwanza 100 wamerejeshwa Somalia kufuatia makubaliano kati ya Shirika la Umoja wa mataifa linaloshughulikia maswala ya
Je unataka kuishi maisha marefu duniani ?
Je unataka kuishi maisha marefu duniani ?
Utafiti mmoja uliofanywa nchini China umebaini kuwa ukila chakula kilichotiwa viungo kila siku unajiongezea maisha marefu.
UN:Shambulio la Burundi lichunguzwe
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki-moon ametaka uchunguzi wa kina ufanywe kwa shambulio lililofanywa dhidi ya mwanaharakati wa haki za
Wasifu wa Edward Lowassa
Umoja usio rasmi wa vyama vinne vya upinzani nchini Tanzania unajulikana kwa jina la Katiba ya Wananchi (UKAWA), baada ya kusubiri kwa muda hatimaye umemtangaza Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa kuwa mgombea wake wa
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)