Neno moja huweza kubadilisha maisha ya mtu, hayo yamemkuta msanii wa muziki nchini Tanzania
Msanii wa muziki wa
Kizazi kipya Abubakar Shaaban Katwila almaarufu Q Chillah aliyekuwa
ameathiriwa na dawa za kulevya kiasi cha kushindwa kuendelea
kuiburudisha hadhira, ameamua kuitoa siri yake kwa BBC namna alivyoweza
kuachana na uraibu, sababu kubwa ni neno aliloguswa kutoka kwa bintiye.
Sikiliza mahojiano yake na Anord Kayanda
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni