13 Agosti 2015

Ugiriki yajitathmini na madeni kimataifa

Kumekuwa na majadiliano makubwa katika bunge la
Ugiriki kuhusu mdahalo wa kama wabunge wataunga mkono suala la nchi hiyo kuokoa uchumi wake kwa miaka mitano ijayo kupitia madeni ya kimataifa.
Mpango huo wenye thamani ya Euro bilioni themanini na tano,utaendana na kupunguza matumizi yasiyokuwa ya lazima sambamba na kuongezeka kwa kodi. Takwimu kadhaa kutoka upande wa mrengo wa kushoto zinasema serikali inakaidi viongozi wake wenyewe huku zikisema ahadi yao ni kupambana na uongozi mbaya.
Wadadisi wanasema kuwa kuna uwezekano seikali ikashinda kura inayotarajiwa kupigwa, lakini kwa msaada wa wabunge wa upinzani,mdahalo huo umekuja kutokana na takwimu mpya kuonyesha kua kwa kiasi fulani,uchumi wa Ugiriki umeongezeka kwa asilimia moja katika robo ya pili ya mwaka huu bila kutarajia.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728