Video ya hali ya juu | mp3 (2.1 Mb) |
Wachina wanaozungumza kiswahili China
24 Agosti 2015 Imebadilishwa mwisho saa 16:33 GMT
Fatuma
Halnur ni baadhi ya Wachina hapa wanaozungumza kiswahili pia. Fatuma,
ambaye ni muislamu, ni mwanafunzi katika chuo cha Lugha za kigeni cha
Beijing...John Nene amekutana na Fatuma mjini Beijing, na kwanza
akamuuliza mbona ameamua kujifunza kiswahili.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni