27 Agosti 2015

Je hali ya wachimba dhahabu TZ itaimarika ?

Je hali ya wachimba dhahabu TZ itaimarika ?

19 Agosti 2015 Imebadilishwa mwisho saa 14:34 GMT
Kwa watu wengi, pete ya dhahabu ni ishara ya upendo wa milele, lakini mara nyingine simulizi za jinsi dhahabu hiyo ilivyopatikana huwa si ya kufurahisha sana.
Tanzania ni mzalishaji wa nne wa dhahabu barani Afrika - lakini mamia ya maelfu ya wachimbaji wadogo wadogo nchini humo hufanya kazi katika mazingira magumu sana huku wakipata ujira mdogo.
Lakini inawezekana hili likabadilika kufuatia mpango mpya ulioandaliwa na shirika la Fairtrade kuuza dhahabu hiyo Uingereza - mpango huu ni wa kwanza wa aina yake barani Afrika.
Mwandishi wa BBC Tulanana Bohela anaarifu kutoka eneo la machimbo ya dhahabu nchini Tanzania.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728