Viongozi wa Ufaransa na Ujerumani
wamezitaka nchi za Umoja wa Ulaya kufanya kazi pamoja kuweza kukabiliana
na tatizo la wahamiaji.
Katika taarifa yao ya pamoja kwa vyombo
vya habari mjini Berlin, Kansela Angela Merkel amesema kanuni
zilizokuwepo sasa kama vile kuwasajili wahamiaji, hazifuatwi.Kwa upande wake Rais wa Ufaransa Francois Hollande ametaka mgawanyo sawa wa wanaoomba hifadhi, kati ya mataifa wanachama.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni