Wegesa na Nyanswi. Ni wanawake wawili kutoka kwa jamii ya Wakuria.
Wameoana kwa miaka 15.
Wajane wasio na mrithi wa kiume hawawezi kurithi mali.
Wagesa alimuoa Nyanswi kama mkewe ili kutatua tatizo hilo.
Nyanswi ana wavulana kwa hivyo anaweza kurithi kutoka kwa Wagesa.
Wanandoa hao wana wavulana sita,waliozaliwa na ndugu za marehemu mumewe Wagesa.
Utamaduni huu pia ni njia ya kuepuka ghasia za nyumbani.
Asilimia sitini ya wanawake katika eneo hilo wameshuhudia ghasia za vita ama zile za kihisia.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni