Ujumbe
unaoonekana kutumwa na mtu aliyekuwa na silaha nchini Marekani na
kuwaua kwa risasi watangazaji hao wawili wa televisheni wakati wa
matangazo ya moja kwa moja unaashiria kwamba alikuwa na uchungu kwa
kinachoonekana kuwa ubaguzi wa rangi.
Vester Lee Flanagan, aliyefutwa kazi katika kituo hicho cha televisheni alifariki baada ya kujipiga risasi, saa chache baadaye.
Msimaizi
wa kituo hicho cha televisheni alimtaja mshambuliaji huyo kuwa mtu
asiyekuwa na furaha ambaye ilikuwa vigumu kufanya naye kazi.
27 Agosti 2015
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni