28 Julai 2015

Mwana wa Gaddafi ahukumiwa kifo

Mahakama ya libya
Mahakama moja nchini Libya imemuhukumu kumyonga mwana wa aliyekuwa rais wa taifa hilo Gaddafi,Saif al Islam na wengine wanane kufuatia uhalifu wa
kivita uliohusishwa na mapinduzi ya mwaka 2011.
Walikuwa wameshtakiwa pamoja na washirika wengine wa kiongozi huyo aliyeondolewa mamlakani kwa kujaribu kazima maandamano wakati wa mapinduzi hayo.
Saif al Islam hakuwepo mahakamani na alitoa ushahidi wake kupitia teknolojia ya kanda ya video.
Kwa sasa Saif anazuiliwa na kundi moja la waasi la zamani katika mji wa Zintan ambao wamekataa kumuachilia huru.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728