Muigizaji maarufu wa kipindi cha runinga cha "Vitimbi"Benson Wanjau aka
"Mzee Ojwang"
ameaga dunia.
Mzee Ojwang ameaga dunia muda mchache uliopita katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta mjini Nairobi Kenya.
Muigizaji maarufu wa kipindi cha runinga cha "Vitimbi"
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni