02 Julai 2015

Vikwazo kwa makamanda wa S Sudan

Wapiganaji Sudan KusiniBaraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limewawekea vikwazo ikiwemo marufuku ya usafiri na kupiga tanji mali za majenerali sita wa Sudan Kusini.

Watatu ni kutoka upande wa serikali na wengine watatu ni kutoka upande wa waasi.
null
Majenerali waliowekewa vikwazo ni kutoka kwa serikali ya Rais Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar
Hatua hii inajiri siku chache baada ya ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa kuonyesha ukatili mkubwa wa kibinadamu katika mapigano yanayoendelea nchini humo.
Mjumbe wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Samantha Power amesema vikwazo hivyo ni onyo kwa wale wanaendeleza ukiukaji wa kibinadamu Sudan Kusini.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728