06 Julai 2015

Snura Ampiga vijembe Wema Sepetu

Snura Ampiga vijembe Wema SepetuAliyewahi kuwa swahiba  wa mbunge  mtarajiwa  Wema Sepetu, Snura Mushi ametoa kauli zenye mlengo  wa kumpiga vijembe Wema.

“ Naepukana na unafiki  tena naweza kusema ni  roho mbaya chuki kwa baadhi ya wasanii kuunda makundi ambayo yanatumia muda  mwingi  kuwadis wengine, mfano hivi sasa wakati Diamond anawania  tuzo za kimataifa  eti kuna watu wanaungana na watu wan je kufanya kampeni ashindwe,” alisema Snura.
Snura anadai kuwa  siku hizi makundi  ambayo  yanaundwa na wasanii au wapenzi wenyewe ambayo yanatumika vibaya  katika kutengeneza ugomvi au kushabikia wasanii wakigombana kwa kutumia mitandao ya kijamii kuwatusi na kuwakatisha tamaa hata kama wanafanya kazi zinazotangaza Taifa.
Wema Sepetu ni miongozni mwawasanii ambao wanadaiwa kuhamasisha kundi lake “team Wema” kumpigia chepuo msanii wa Nigeria Davido ambaye anachuana na Diamond wa hapa nyumbani katika tuzo za MTV Africa MAMA.
KIU

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728