Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amewaambia mawaziri wa Afrika Mashariki kwamba endapo
atachaguliwa kuiongoza nchi hiyo mwezi June mwaka huu ,kwa muhula wa tatu basi itakuwa ni kipindi cha ukomo wa yeye kuendelea kusalia madarakani ,msemaji wa serikali ya Burundi Gervais Abayehorwa amesema hayo mapema Jumatano .07 Mei 2015
Rais Pierre Nkurunziza hatagombea tena
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni