07 Mei 2015

Tumbili mwenye jina sawa na bintimfalme

Tumbili mwenye jina sawa na bintimfalme
Hifadhi moja ya wanyama huko Japan imelazimika kuomba radhi baada ya wahudumu wake kuipa tumbili changa ya kike, jina sawa na lile le mwanawe mwanamfalme wa Uingereza Charlotte.

Kituo hicho cha wanyama cha Takasakiyama kilicho kusini mwa taifa hilo kilikabiliwa na gadhabu kuu ya watu baada ya kumpa tumbili huyo wa kike jina hilo sawa na binti mfalme wa Uingereza .
Chombo cha habari cha Kyodo kiliripoti tukio hilo kikidai kuwa raia waliihusika katika kuchagua jina la tumbili huyo wa kike.
''ni kawaida kwa tumbili wa kwanza kila mwaka kupewa jina na umma'' Kyodo
Jina hilo la Charlotte ndilo lililotokea kupendwa na watu wengi huku watu 59 kati ya raia 853 wakiipigia kura.
Baadhi ya raia walipinga pendekezo hilo wakisema haifai kuipa tumbili huyo jina sawa na binti mfalme.
Wengine walisema kuwa haitakuwa vyema kwao wenyewe iwapo waingereza wataita tumbili wao majina sawa na ya wafalme wao.
Kituo hicho cha Wanyama kilichapisha taarifa kwenye mtandao wao wakiomba msamaha huku wakipanga mikakati ya kubadilisha jina la tumbili huyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728