
Wauza Madawa ya Kulevya 8 waliohukumiwa adhabu ya kifo, wameuawa kwa kupigwa risasi hadharani nchini Indonesia hapo jana
- Australia yakerwa; yamrejesha nyumbani Balozi wake

Kwa siku ya pili jiji la Bujumbura linatikiswa na maandamano yaliyoitishwa na wanasiasa wa upinzani na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali kupinga rais Pierre Nkurunziza kugombea tena urais. Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa amri kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015
Picha za maelfu ya vijana wanaojaribu kuivuka Bahari ya Mediterrenean kuingia barani Ulaya mara nyingi zinawahusu Waafrika ambao
Bilionea Alhaji Dangote amekabidhiwa hekari 2,500 katika Kijiji cha Mgao, Wilaya ya Mtwara ajenge bandari.