Ni kati ya movie ninazozipenda sana . pia naweza thubutu kusema ni movie iliyofanya mabadiliko makubwa sana kwenye film industry nchini kwetu Tanzania na nje ya mipaka yetu. pia ndiyo movie iliyomtangaza Irene Uwoya kwenye ulimwengu wa filamu. kwa hiyo nina kila sababu ya kuipenda movie hii. OPRAH HOT SUNDAY”. Ray ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya kasha la filamu hiyo.
Wewe kama mdau unamaoni gani juu ya kazi hii ya OPRAH iliyotoboa mipaka ya nchi? Hebu funguka uliionaje, kama bado nakuomba itafute kwani ni moja kati ya filamu bomba kutoka Bongo Movies.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni