Muigizaji wa filamu za kibongo ambaye wiki iliyopita ameshinda tuzo ya muingizaji bora wa kike katika tuzo za Filamu nchini Tanzania (TAFA) Irene Paul amefunguka na kusema kuwa
Raia 15 wa China wamefunguliwa mashitaka nchini Marekani kwa tuhuma za udanganyifu wa matokeo na nyaraka za kitaaluma walizozitumia kujiunga na elimu ya juu nchini Marekani.
Prince William akionyesha mapenzi yake katika Soka
Mwana wa kifalme wa Uingereza Prince William amesema kuwa, ameanza kupata hemwa hemwa juu ya mchezo wa fainali ya FA itayopigwa hapo kesho kati ya Arsenal dhidi ya Aston Villa.
Kiungo cha klabu ya Real Madrid Gareth Bale amesema atasalia katika timu hiyo.
Kiungo wa Real Madrid Gareth Bale ameelezea matarajio yake ya kuendelea kubaki ndani ya klabu hiyo msimu ujao, japokuwa kumekuwepo na tuhuma nyingi kutoka kwa mashabiki wa Madrid na baadhi ya
Rais wa FIFA Sepp Blatter kuonekana hadharani kwa mara ya kwanza tangu maafisa wakuu wa FIFA kukamatwa kufuatia tuhuma za ulaji rushwa
Rais wa FIFA Sepp Blatter anatarajiwa kuonekana hadharani kwa mara ya kwanza siku moja baada ya maafisa wakuu wa shirikisho hilo kukamatwa kufuatia tuhuma za
Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao
Rais wa Benki ya maendeleo Afrika, Donald Kaberuka
Benki ya Maendeleo ya Afrika inaendesha shughuli zake chini ya uongozi wa rais, ambaye anafanya kazi kama mwakilishi halali wa Benki, mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na mnadhimu wa
Mume wa Staa wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya, Hamad Ndikumana ‘Katauti’amesema kuwa hajaachana na msanii huyo kama ambavyo baadhi ya watu wanavyodhani.
Taarifa kuwa wakili mmoja wa kenya amesema yuko tayari kutoa mahari kwa mtoto wa raisi wa Marekani,Barrack Obama zimeenea duniani kote Felix Kiprono amesema yuko tayari kutoa ng'ombe 50,kondoo 70 na mbuzi 30 kwa ajili ya mahari ya mtoto wa Obama,Malia Obama.Hivyo anajiandaa kuzungumzia swala hilo na
Staa wa Bongo Movies, Yobnesh Yussuf ‘Batuli’ amekiri kuteswa na suru nzuri za wanaume ambao huwa wanamfuata kwa ajili ya uhusiano wa kimapenzi huku wengine wakimuahidi kumuoa na kuwakubalia ombi lao na kuelekeza mapenzi yake yote kwao.
Thomas Sankara of Burkina Faso was overthrown by his old best friend, then killed during the coup; his remains have just been exhumed at his family's request. We look back at the life of the man who remains a revolutionary hero for many (from 2013).
Wanakutana mastaa wawili wa Bongo Movies, kwenye filamu ya KAUVA na kufanya makubwa ni hatari unajua wasanii hao ni nani nani? Basi si wengine ni Jack Wolper na kipenzi cha wengi mzee wa Malavudavi Haji Adam aka Baba Haji stringi wa Kihindi
Lewis Hamilton,ambaye kwa sasa anadaiwa kupata msongo wa mawazo baada ya kushindwa
Bosi wa timu ya Mercedes Toto Wolff ametanabaisha kuwa dereva wa timu hiyo Lewis Hamilton ataerejea katika hali yake ya kawaida baada ya kupata mfadhaiko uliotokana na
Polisi Nchini Kenya inamtafuta Raia wa Tanzania aliyekuwa anaishi Mombasa na ndugu wawili Wakenya wanaodaiwa kuhusika na mzigo wa pembe za ndovu uliokamatwa Nchini Singapore Wiki iliyopita ukitokea Mombasa.
-Pembe za Ndovu zilizokamatwa Singapore zilikuwa na thamani ya Kshs Milioni 570
Poor old Brendan Rodgers. The Liverpool boss is not the most popular man on Merseyside at the moment (well, the red half of Merseyside) but we have some good news for you Brendan!
Aliyekuwa waziri mkuu wa Israel Ehud Olmert amehukumiwa kwenda jela miezi minane baada ya kupatikana na hatia ya ufisadi. Tayari wakili wa mwanasiasa huyo amesema watakataa rufaa dhidi ya hukumu hiyo. Kupata zaidi bonyeza hapa
Cristiano Ronaldo has found a replacement for Irina Shayk - a stunning Italian model with the same bee-stung lips as his Russian ex.
Victoria’s Secret beauty Irina, 29, reportedly dumped the Real Madrid ace five months ago after he confessed to messaging a string of women behind her back.
He is now understood to be seeking solace in the arms of gorgeous Alessia Tedeschi.
The 24-year-old from Rome, an ex-of Silvio Berlusconi’s son Luigi, consoled Cristiano in Madrid after his side’s crushing semi-final Champions League defeat to Juventus earlier this month.
Just 19 hours after the lifting of the Barclays Premier League trophy inside a packed Stamford Bridge, many more thousands of fans lined the streets all the way from the stadium to Parson’s Green as the team paraded our cups.
Kiongozi wa Mashtaka ametoa ruhusa ya kushtakiwa kwa mwaziri wanne
Kutumia ujumbe kwa vyombo vya habari, mkuu wa mashtaka ya umma nchini Kenya Keriako Tobiko, hii leo amevumbua yaliyomo katika hati za kesi za mawaziri wanne.
Uongozi wa Muhamadu Buhari ambao utachukua madaraka siku ya ijumaa wiki hii unailaumu utawala wa Goodluck Jonathan kwa kuhujumu uchumi
Uongozi wa serikali mpya ya rais Muhamadu Buhari ambayo itaingia madarakani siku ya ijumaa wiki hii inaulaumu utawala unaondoka wa Goodluck Jonathan kwa kuhujumu taifa hilo lenye uchumi mkubwa zaidi barani Afrika.
Binadamu tuliumbwa kuishi katika misingi ya ubinadamu na sio unyama kama waishivyo wanyama wa porini leo naomba kusema kutoka moyoni mwangu.. Najua kabisa nina wazazi wangu ndugu zangu na
Kocha wa klabu ya Liverpool, England Brendan Rodgers amesema yupo tayari kuondoka klabuni hapo, pale tu wamiliki wa timu hiyo watakapomtaka kufanya hivyo.
TANGAZO. Wadau katika watu naowaeshimu duniani ni wanawake maaana najua halisi ya mwanamke ni mama zetu wametuweka tumboni miezi 9 kwenye shida na rahaa.