23 Aprili 2015

Hasira zamfanya aipige kompyuta risasi

Mwamamme mmoja kwenye mji wa Colorado nchini Marekani huenda akachukuliwa hatua za kisheria kufuatia kisa ambapo
alikasirishwa na kompyuta yake kisha akaitoa nje na kuifyatulia risasi mara nane.
Polisi wanasema kuwa Lucas Hinch alikuwa na matatizoya kiteknolojia ndipo akaipeleka kompyuta hiyo upande wa nyuma ya nyumba yake na kuiharibu ambapo alikamatwa muda mfupi baadaye.
Vyombo vya habari vilisema kuwa alichoka na kusumbuliwa na kompyuta yake lakini hakufahamu kuwa alikuwa akivunja sheria alipoiadhibu kwa risasi.
Gazeti moja lilisema kuwa wakati herufi za ctrl+alt+delete zilifeli , bwana Hinch alishikwa na hasira nna kuamua kulipiza kisasi kwa kuiharibu Kompyuta hiyo hadi kiwango ambacho haiwezi kutumika tena

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728