Kwa siku ya pili jiji la Bujumbura linatikiswa na maandamano yaliyoitishwa na wanasiasa wa upinzani na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali kupinga rais Pierre Nkurunziza kugombea tena urais.
Tangu asubuhi ya jumatatu hii mitaa ya Kanyosha, Musaga Nyakabiga, Cibitoke na Mutakura raia wameteremka kwenye barabara kuu za mitaa hiyo wakikusudia kuelekea katikati ya jiji na hivyo kuzuwiliwa na askari polisi ambao ni wengi mno walotawanywa katika sehemu zote za jiji.
28 Aprili 2015
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni