Staa mrembo wa Bongo Movies, Wastara Juma amebandika picha hii
mtandaoni akiwa na meneja wake Bond Bin Sinnan ni mtangazaji na pia ni
muongozaji na muigizaji wa Filamu.
Kilichowafurahisha wengi ni haya mameno Wastara alioyaandika kwenye picha huyo;
“Kwa mfano yaani no yaani nauliza hivi kwa mfano inakuwa ni
aah basi nimeghairi tuendelee kuangalia mpaka usingizi utupitie uaminifu
dhaifu hii ni TBTau Tabata Barakuda tuliambiwa cut ila cinema
iliendelea”
Nadhani ameeleweka vyema, hasa mstari wa mwisho hapo, ichukue hii kama ndio picha bora kwa siku hii ya leo.
13 Aprili 2015
Picha: Wastara Anauliza, Hivi kwa Mfano….
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni