Staa mrembo wa Bongo Movies Shamsa Ford ambae siku za hivi karibuni
alikanusha waziwazi alipokuwa akihojiwa na vy mbo mablimbali vya habari
juu ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi wa Staa Nay wa Mitego hatimaye
jana kupitia ukurasa wake mtandaoni alibandikaa picha yake pamoja na ya
Nay ankuandika maneno ya kimahada yaliyosomeka “Miss u so much my endlesslove.”
Kitendo ambacho kinathibitisha kuwa wawili hawa wapo kwenye penzi moto moto
Siku za hivi baribuni zilisambaa picha za wawili hawo wakiwa
wanadendeka wadaku wakahisi wa wili hawo wanatoka lakini Shamsa
alijitokeza na kusema kuwa hao wapo kwenye project ambayo itatoka hivi
karibuni na kusisitiza Nay ni binamu yake.
Nadhani hapa sasa anataka tuamni kale kamsemo ka binamuu……
14 Aprili 2015
Hatimaye Shamsa Ford Atoboa Kuwa Nay ndio “EndlessLove” Wake
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni