23 Aprili 2015

Akiri kudanganya kuhusu tiba ya Saratani

Mwanablogu aliyelimbikiziwa sifa baada ya kudai kwamba alimiliki dawa za kuponya ugonjwa wa saratani ya ubongo kupitia tiba ya kiasili amekiri kwamba alidanganya kuhusu ugonjwa wake.
Belle Gibson alianza kazi iliojawa na mafanikio mbali na uzinduzi wa kitabu cha mapishi kufuatia madai ya afueni ya kimiujiza.

Lakini wengine walipoanza kumuuliza kuhusu habari hiyo aliliambia gazeti moja la nchini Australia kwamba hajawahi kuwa mgonjwa.
Alisema kuwa alipambana na maisha kuhusu kusema ukweli.
Shirika moja la wahisani wa saratani limewataka wagonjwa kuwa na hofu punde wanapoelezwa kuhusu tiba zisizoaminika.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728