
Mashabiki wengi wa filamu walionyesha ku-miss sana mwanadada huyu ambae kipajichake cha kuigiza niling’ara tangu utotoni, kwani ni takribani miezi saba imepita tangu kazi yake ya mwisho “MAPENZI YA MUNGU” ambapo moja kati ya washiriki katika filamu hiyo ni Bi Flora Mtegoha ambae ni Mama Mzazi wa aliyekuwa Msanii Nguli wa Kiume Hapa Bongo Marehemu Steven Kanumba kutoka.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni