Hivi juzi kati staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu
aliandika kupitia ukursa wake mtandaoni akilelezea machungu aliyonayo
kwa kutokuwa na uwezo wa kupata mtoto lakini yote kamuachia Mungu hii ni
kutokana na watu kumuandama sana mtandaoni kuhusu swala hilo. Sakata
zima lilianzia hapa.
Wema kupitia ukurasa wake mtandaoni alimpongeza staa mwenzake Hamisa
Mobeto kwa kujifungua mtoto kwa kubandika picha hiyo hapo juu ana
kuandika;
“They say u are nat yet a woman Until you experience motherhood........
By da way who are they who keep saying things everytime... They always
have something to say dont they..? Lol... Back to reality... Jamani my
mdogo umezaa...! I just heard you were pregnant... Oh my...! Hongera
mamy.... You are a Woman now....! Cant even start to tell u how much I
envy you ryt now... Congratulations either way....Lotsa kisses to the
beautiful lil angel....Awwwwwww look at you.....”
Kwa wale wanaujuakidogo lugha ya malkia watakuwa wamepata kitu hapo.
Lakini kilichosababisha balaa na kuleta malumbanoa mbayo yalipelekea
matumizi ya kejeli na matusi ni huo usemi wa kuwa hauwezi kuwa mwanamke kamili hadi uzae mtoto aliounukuu Wema hapo mwanzo.
Hapo ndio watu wakaanza kumponda na kumkejeli Wema huku wengine wakiwataka watu hao wamuache kwani yote ni mipango ya Mungu.
Futuatia Komenti nyingi za kumshambulia, Wema ndipo alipoamua kuja na
andiko la kuelezea ni jinsi gani anavyoumizwa na hali ya kutoweza kuwa
na mtoto na kuandika:
14 Aprili 2015
Hiki Ndio Chazo cha Wema Kufunguka Kuwa Uwezo Hana Wakupata Mtoto
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni