28 Aprili 2015
Mayweather na Pacquiao wakosolewa
Licha ya donge nono la dola 250 milioni litakalopiganiwa na Floyd Mayweather na Manny Pacquiao wikendi hii huko Las Vegas, Marekani, mabondia mashuhuri wa zamani wa Kenya, Steve Muchoki na Muhammad Abdallah Kent, wanasema kiwango cha mabondia hao wawili kiko chini na hawawezi kulinganishwa na miamba ya miaka ya sabini na themanini, miongoni mwao Muhammad Ali, Joe Frazier, Sugar Ray Leonard, Roberto Duran na Marvin Hagler....John Nene amezungumza na mabondia hao wa zamani wa Kenya akianza na Muchoki
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni