23 Aprili 2015

Biashara ya binaadamu ni tatizo Ulaya

Utafiti mpya wa kituo cha Uingereza British Think-Tank unasema kuwa Biashara ya binaadamu ni tatizo kubwa linalokumba muungano wa ulaya .
Watafiti katika kituo hicho kinachoshughulikia masuala ya haki za jamii wanasema mafanikio katika vita dhidi ya
kile walichokitaja kama biashara ya utumwa mambo leo yamezorota na kwamba mipaka iliyowazi pamoja na internet vimechangia biashara ya binadamu kuwa rahisi.
Ripoti hiyo imeelezea namna maelfu ya wanaume na wanawake na watoto wananavyouzwa kwenye mipaka na magenge na kulazimishwa kufanya kazi za ngono ,utumwa na uhalifu .
Imetoa wito wa kuwepo kwa juhudi za pamoja za nchi za muungano wa ulaya kukabiliana na tatizo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728