Tangu Kibonge-Simba dume pekee katika hifadhi ya wanyama ya Entebbe maarufu kama Zoo afariki miezi kadhaa iliopita simba wa kike watatu waliomo kwenye hifadhi hiyo walibaki bila dume hadi juzi ambapo zoo hiyo ilipata
dume jingine kutoka Afrika Kusini.28 Aprili 2015
Hifadhi ya wanyama yapata simba mpya UG
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni