Shilingi ya Tanzania imeendelea kushuka hadi kufikia anguko la asilimia 20 dhidi ya dola ya Kimarekani,hali inayotajwa kuwa si
tu inaathiri mitaji ya uwekezaji bali pia kipato cha mtu binafsi. Kwa sasa ubadilishaji wa shilingi ya Tanzania kwa dola ya Kimarekani imefikia shilingi elfu mbili kwa dola moja na kuathiri mwenendo wa kiuchumi.
Mwandishi wetu Leonard Mubali kutoka Dar es Salaam, amezungumza na waziri kivuli wa wizara ya fedha, nchini humo, James Mbatia ambaye alianza kwa kubainisha kuporomoka kwa sarafu hiyo:
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni