Picha za maelfu ya vijana wanaojaribu kuivuka Bahari ya Mediterrenean kuingia barani Ulaya mara nyingi zinawahusu Waafrika ambao
kutokana na kukata kwa tamaa, hujining’iniza kwenye maboti na maboya, wakielea majini wakiwa maiti, au wakipelekwa ufuoni, wakiwa hoi. Je, picha hizi zinaibua hisia zipi miongoni mwa Waafrika wanaoishi hapa Ulaya?
28 Aprili 2015
NI KATIKA CHANGAMOTO ZA MAISHA
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni