28 Aprili 2015
HALI YA WASIAWASI BURUNDI
Hali ya wasi wasi bado inaendelea nchini Burundi, hasa katika mji mkuu Bujumbura, ambapo hadi jumanne hii shughuli mbali mbali bado hazijarejea katika hali yake ya kawaida, wakati zikiwepo ripoti za misimamo tofauti kati ya polisi na jeshi juu ya hali ya sasa.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni