Umoja wa mataifa unasema kuwa
haujapokea amri rasmi kutoka kwa serikali ya Kenya ya kuutaka ufunge
kambi ya wakimbizi ambayo ni makao kwa maelfu ya raia wa Somalia.Amesema kuwa la sivyo Kenya itachukua jukumu hilo mikononi mwake.
Baadhi ya wanasiasa nchini Kenya wanaamini kuwa kambi hiyo imekuwa eneo la kuwapa mafunzo wanamgambo wa Al shabaab ambao waliwaua karibu wanafunzi 150 wa chuo cha Garissa zaidi ya wiki moja iliyopita.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni