10 Mei 2015

Tetesi: Jokate na Alikiba Wadaiwa Kuzama Penzini

Tetesi: Jokate na Alikiba Wadaiwa Kuzama Penzini
Tetesi  za mastaa wa hapa Bongo, Jokate Mwegelo na Ally Kiba kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi zimezidi kupamba moto baada ya hapo jana mtangazaji wa
Clouds FM Soudy Brown kumuoji Jokate juu ya ukweli wa tetesi hizo ambapo Jokate aliishia kucheka tu bila kutoa majibu.
Kwa mujibu wa Soudy kwa muda mrefu amekuwa akiwafuatilia wa wili hao kwani mara nyingi wamekuwa wakionana  wakiwa pamoja sehemu mbalimbali  kama kwenye restaurants na mara kadhaa nyumbani kwa Alikiba.
Sasa leo kwenye mitandao ya kijamii, kumekuwa na picha hiyo hapo juu ikimuonyesha Jokate  akiwa metinga kofia ya mkeke ya Ally Kiba
Bado  lakini wadaku waneendelea kuunganisha ‘DOTS’ ukweli utafahamika tu.
Mzee wa Ubuyu
Kuna tetesi zinavuna kuwa Jokate Mwegelo na Alikiba ni wapenzi!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728