Wataalamu wa kuchunguza maiti, wameanza kuyafukua zaidi ya makaburi 12 ya halaiki, katika mji wa Tikrit, nchini Iraq.Makaburi hayo yaanaminika kuwa na zaidi ya maiti elfu moja mia saba ya wanajeshi waislamu wa Kishia, waliouwawa vibaya mwezi Juni mwaka jana na wanamgambo wa I-S.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni