Mamlaka nchini Somalia imevifunga
vituo viwili vya redio nchini humo baada ya kutangaza habari za
wapiganaji wa Al-shabaab kuhusu shambulio la chuo kikuu nchini Kenya.Vikosi vya usalama nchini Somali vimekuwa vikiwakamata wanahabari ambao hufanya mahojiano na wapiganaji wa Al-shabaab ama kutangaza habari zao.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni