Staa mrembo wa Bongo Movies, Kajala Masanja kwa mara ya kwanza
ameibuka na kutoa ya moyoni kuwa anatamani kulipa shilingi milioni 13
alizolipiwa na staa mwenzake Wema Sepetu kama faini ili asiende jela
miaka saba.
Akizungumza na gazeti la Amani, Kajala alisema kuwa huwa anaumia
sana kila anapokumbuka kuwa alipewa kiasi hicho chapesa ingawa uwezo wa
kulipa anao.
“Huwa nateseka sana kila ninapokumbuka kuwa nilitolewa 13 japokuwa
naaamini alitoka kwa mmoja,kinachoniuma muhusika anaiongelea kila siku
tena kwa mabaya,” alisema Kajala
09 Aprili 2015
Kajala Atamani Kumlipa Wema Mil.13 Zake
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni