03 Aprili 2015
Kura ya maoni yaahirishwa Tanzania
Tume ya Uchaguzi wa taifa la Tanzania, kukabiliwa na msisitizo wa muda mrefu wa wananchi juu ya kuahirishwa kwa tarehe ya kufanyika kura ya maoni kuhusu katiba inayopendekzwa na tume hiyo kutoa msimamo kwamba tarehe haitobadilika, leo hii tume hiyo imetoa kauli tofauti. Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi , Jaji Mstaafu Damian Lubuva ametangaza kuwa zoezi hilo la kura ya maoni limeahirishwa, jambo ambalo limezua hisia tofauti nchini Tanzanika.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni