Siku niliyojifungua, kila kitu kilikuwa sawa.'' Mamake Brandi McGlathery ameambia ABC News Today nchini Marekani.
''Alipozaliwa daktari alimweka kifuani mwangu. Nilipomwangalia kwa karibu, nilisema ' Hana pua'. Walimchukua na kutoka naye.
McGlathery
amesema kwamba daktari alikaa kando ya kitanda chake ili kumweleza hali
ya mtoto wake. ''Alikuwa amehuzunika..''Amesema.'' Nilijua papo hapo
kuwa hakuwa sawa.''
Hata ingawa mtoto wake hakuonyesha kasoro
zozote zaidi, McGlathery amesema kuwa alishangazwa na kuhuzunika
kutokana na habari hizo.
Lakini licha ya kukosa pua, Brown amesema kuwa mtoto huyu ana afya nzuri na pia ni mtoto mrembo.
06 Aprili 2015
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni