Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka
kuwa juzikati aliamua kumjibu shabiki mmoja mtandaoni kutokana na kuwepo
kwa watu wengi wanaomsema vibaya mitandaoni.
Akizungumza na mwanahabari wa GPL mara baada ya kumjibu shabiki
Gladmarry Edwine aliyemkejeli kupitia mtandao wa Instagram kuwa ikifika
siku ya Kanumba Day (Aprili 7, mwaka huu), Lulu atajiliza ndipo staa
huyo alipomtolea uvivu iwe fundisho.
“Yule alinikuta siku hiyo siko vizuri halafu niko Instagram nikaamua
kumtolea uvivu kwa kumpaka maneno ya shombo iwe fundisho,” alisema Lulu.
“Yule alinikuta siku hiyo siko vizuri halafu niko Instagram nikaamua
kumtolea uvivu kwa kumpaka maneno ya shombo iwe fundisho,” alisema Lulu.
Lulu alimwambia mtu huyo kuwa asijifanye anamjua sana Kanumba kuliko yeye ambaye alikuwa akilala naye kama mchumba wake.
06 Aprili 2015
Lulu Atoa fundisho Kwa Shabiki
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni