03 Aprili 2015

EPL kuendea kutimua vumbi kesho

Ligi ya England itaendelea tena kesho kwa nyasi za viwanja saba kuwaka moto katika michezo ya mzunguko wa raundi ya 26.
Vinara wa ligi Chelsea watakua katika uwanja wao wa nyumbani Stamford Bridge kuwakabili Burnley walioko nafasi ya pili toka mkiani Mwa msimo wa ligi.

Man City walioko nafasi ya pili kwa watawakaribisha Newcastle katika dimba la Etihad Stadium,huku Man United wakisafiri mpak kwenye uwanja wa Liberty Stadium kupetetana na Swansea.
Arsenal nao watakua ugenini katika uwanja wa Selhurst Park kuwakabili Crystal Palace katika kuwania alama tatu muhimu.
Michezo mingine itakuwa na kati ya Aston Villa dhidi ya Stoke utakaochezwa Villa Park,Hull City watachuana na QPR
Sunderland watakua wenyeji wa West Brom katika mchezo utakao pigwa kwenye dimba la Stadium of Light.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728